Watchtower ONLINE LIBRARY
Watchtower
ONLINE LIBRARY
Kĩmĩĩrũ
  • BIBLE
  • PUBLICATIONS
  • MEETINGS

Footnote

b UFAFANUZI WA MANENO: Katika makala hii na inayofuata, neno “uchumba” linarejelea kipindi ambacho mwanamume na mwanamke wanafahamiana vizuri zaidi ili kuamua ikiwa wanaweza kuwa wenzi wa ndoa. Katika nchi nyingine, neno hilo hurejelewa pia kuwa urafiki wa kimahaba, kumjua vizuri zaidi mtu fulani, au uhusiano wa kimahaba. Uchumba unaanza wakati mwanamke na mwanamume wanapoelezana kwamba kila mmoja anavutiwa na mwenzake kimahaba, na unaendelea mpaka wanapoamua kufunga ndoa au kuvunja uchumba.

Mauku ja Kĩmĩĩrũ (2012-2025)
Log Out
Log In
  • Kĩmĩĩrũ
  • Share
  • Preferences
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Terms of Use
  • Privacy Policy
  • Privacy Settings
  • JW.ORG
  • Log In
Share