Watchtower ONLINE LIBRARY
Watchtower
ONLINE LIBRARY
Kĩmĩĩrũ
  • BIBLE
  • PUBLICATIONS
  • MEETINGS

Footnote

a Vitabu vya Injili na vitabu vingine vya Biblia vina rekodi ya pindi nyingi ambazo Yesu aliyefufuliwa aliwatokea watu wengine, kama vile Maria Magdalene (Yoh. 20:​11-18); wale wanawake wengine (Mt. 28:​8-10; Luka 24:​8-11); wale wanafunzi wawili (Luka 24:​13-15); Petro (Luka 24:34); mitume isipokuwa Tomasi (Yoh. 20:​19-24); mitume, pamoja na Tomasi (Yoh. 20:26); wanafunzi 7 (Yoh. 21:​1, 2); zaidi ya wanafunzi 500 (Mt. 28:16; 1 Kor. 15:6); Yakobo, ndugu yake (1 Kor. 15:7); mitume wote (Mdo. 1:4); na mitume karibu na Bethania. (Luka 24:​50-52) Huenda pindi nyingine ambazo Yesu aliwatokea watu hazikurekodiwa.—Yoh. 21:25.

Mauku ja Kĩmĩĩrũ (2012-2025)
Log Out
Log In
  • Kĩmĩĩrũ
  • Share
  • Preferences
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Terms of Use
  • Privacy Policy
  • Privacy Settings
  • JW.ORG
  • Log In
Share