-
Yohana 9:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Lakini jinsi anavyoweza kuona sasa hatujui, wala hatujui ni nani aliyemfungua macho yake. Muulizeni yeye. Ana umri wa kutosha. Lazima ajisemee mwenyewe.”
-