Mwanzo 27:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Naye Rebeka akamwambia Yakobo mwana wake:+ “Tazama, mimi sasa hivi nimemsikia baba yako akimwambia Esau ndugu yako, akisema, Mwanzo 27:46 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 46 Baada ya hayo Rebeka akawa akimwambia Isaka: “Nimekuja kuyachukia sana haya maisha yangu kwa sababu ya binti za Hethi.+ Yakobo akichukua mke kutoka kwa binti za Hethi kama hawa kutoka kwa binti za hii nchi, basi maisha yana faida gani kwangu?”+
6 Naye Rebeka akamwambia Yakobo mwana wake:+ “Tazama, mimi sasa hivi nimemsikia baba yako akimwambia Esau ndugu yako, akisema,
46 Baada ya hayo Rebeka akawa akimwambia Isaka: “Nimekuja kuyachukia sana haya maisha yangu kwa sababu ya binti za Hethi.+ Yakobo akichukua mke kutoka kwa binti za Hethi kama hawa kutoka kwa binti za hii nchi, basi maisha yana faida gani kwangu?”+