Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 17:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na ikawa kwamba kesho yake wakati ambapo Musa aliingia ndani ya hema la Ushuhuda, tazama! fimbo ya Haruni kwa ajili ya nyumba ya Lawi ilikuwa imechipuka, nayo ilikuwa ikitokeza matumba na maua yanayochanua nayo ilikuwa na lozi zilizoiva.

  • Mhubiri 12:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Pia, wameogopa chochote kilicho juu, na kuna vitisho njiani. Nao mti unaozaa lozi hutoa maua,+ naye panzi hujikokota, na pilipili hupasuka, kwa sababu mwanadamu anakwenda kwenye nyumba yake ya muda mrefu,+ nao waombolezaji wamezunguka barabarani;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki