Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 20:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kisha Yehova akawaambia Musa na Haruni jambo hili katika Mlima Hori karibu na mpaka wa nchi ya Edomu:

  • Waamuzi 11:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Walipotembea kupitia nyika, waliizunguka nchi ya Edomu+ na nchi ya Moabu, nao wakaenda upande wa mashariki wa nchi ya Moabu,+ wakakaa katika eneo la Arnoni; nao hawakuja katika mpaka wa Moabu,+ kwa sababu Arnoni ulikuwa ni mpaka wa Moabu.+

  • 1 Wafalme 9:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Na palikuwa na kundi la meli ambazo Mfalme Sulemani aliunda katika Esion-geberi,+ lililoko kando ya Elothi,+ kando ya Bahari Nyekundu katika nchi ya Edomu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki