-
Danieli 1:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ndipo huyo ofisa mkuu wa makao ya mfalme akamwambia Danieli: “Mimi namwogopa bwana wangu mfalme, ambaye ameagiza chakula chenu na kinywaji chenu.+ Kwa nini, basi, aone nyuso zenu zina sura ya huzuni zikilinganishwa na watoto ambao wana umri kama wenu, na kwa nini mkifanye kichwa changu kiwe na hatia mbele ya mfalme?”
-