Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 19:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Naye akaanza kusema: “Tafadhali, sasa, bwana zangu, pitieni hapa, tafadhali, mwingie ndani ya nyumba ya mtumishi wenu, mkae usiku kucha, mwoshwe miguu yenu.+ Kisha mwamke mapema, msafiri na kwenda zenu.”+ Nao wakajibu wakasema: “Hapana, bali katika uwanja wa watu wote ndipo tutakapokaa usiku kucha.”+

  • Waamuzi 19:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na ikawa kwamba katika siku ya nne, walipoamka asubuhi na mapema kama kawaida, akasimama ili kwenda, lakini baba ya yule mwanamke kijana akamwambia mwana-mkwe wake: “Lisha moyo wako kipande cha mkate,+ kisha baadaye mwende zenu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki