Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 12:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Sema na wana wa Israeli, na kuwaambia, ‘Ikiwa mwanamke atachukua mimba+ na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa asiye safi kwa siku saba; kama vile katika siku za uchafu wakati anapokuwa na hedhi atakuwa asiye safi.+

  • Mambo ya Walawi 13:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye kuhani ataliangalia lile pigo lililo katika ngozi ya mwili.+ Nywele zilizo katika pigo hilo zikigeuka na kuwa nyeupe na pigo lionekane kuwa limepenya chini ya ngozi ya mwili wake, ni pigo la ukoma. Naye kuhani atalitazama, naye atamtangaza kuwa asiye safi.

  • Mambo ya Walawi 15:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Nao huu utakuwa uchafu wake kutokana na kinachomtoka: Iwe kiungo chake cha uzazi kimetiririka kwa mtiririko unaotoka au kiungo chake cha uzazi kimezuiliwa kutokana na mtiririko wake unaotoka, huo ni uchafu wake.

  • Hesabu 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Yeyote atakayegusa maiti ya nafsi+ yoyote ya binadamu atakuwa asiye safi siku saba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki