4 Kwa siku 33 zaidi mwanamke huyo atakaa katika damu ya utakaso. Asiguse kitu chochote kilicho kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu mpaka kutimia kwa siku za utakaso wake.+
2 “Sema na wana wa Israeli, nanyi mtawaambia, ‘Ikiwa mwanamume yeyote ana mtiririko unaotoka+ katika kiungo chake cha uzazi, kile kinachomtoka si safi.