Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na kila kitu katika bahari na katika mito ambacho hakina mapezi na magamba, kati ya kila kiumbe kinachozaana kwa wingi cha majini na kati ya kila nafsi hai iliyo majini, hivyo ni vitu vyenye kuchukiza kwenu.

  • Kumbukumbu la Torati 14:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na kila kitu ambacho hakina mapezi wala magamba msile.+ Hicho si safi kwenu.

  • Ezekieli 4:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Nami nikasema: “Ole wangu, Ee Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova! Tazama! Nafsi yangu haijatiwa unajisi;+ Sijala mnyama ambaye tayari amekufa wala mnyama aliyeraruliwa tangu ujana wangu,+ mpaka sasa, na nyama chafu haijaingia kinywani mwangu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki