Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Nawe utamchinja kondoo huyo na kuchukua sehemu ya damu yake na kuitia kwenye ncha ya sikio la kuume la Haruni na kwenye ncha ya sikio la kuume la wanawe na kwenye kidole gumba cha mkono wao wa kuume na kwenye kidole kikubwa cha mguu wao wa kuume,+ nawe utainyunyiza damu hiyo kuzunguka pande zote juu ya madhabahu.

  • Mambo ya Walawi 14:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Naye kuhani atachukua sehemu ya damu ya toleo la hatia, naye kuhani ataitia kwenye ncha ya sikio la kuume la yule anayejitakasa na kwenye kidole gumba cha mkono wake wa kuume na kwenye kidole kikubwa cha mguu wake wa kuume.+

  • Luka 24:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Sasa akawaambia: “Haya ndiyo maneno yangu niliyowaambia nilipokuwa ningali pamoja nanyi,+ kwamba mambo yote yaliyoandikwa katika sheria ya Musa na katika Manabii+ na Zaburi+ juu yangu lazima yatimizwe.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki