Mambo ya Walawi 13:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Lakini ikiwa doa ni jeupe katika ngozi ya mwili wake nalo halionekani kuwa limepenya chini ya ngozi yake na nywele zake hazijageuka na kuwa nyeupe, basi kuhani atamtenga+ mwenye pigo hilo siku saba. Mambo ya Walawi 14:38 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 ndipo kuhani atatoka nje ya mlango wa nyumba hiyo naye ataitenga+ nyumba hiyo kwa siku saba. Hesabu 12:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Kwa hiyo Miriamu akatengwa nje ya kambi siku saba,+ nao watu hawakuondoka mpaka Miriamu alipopokewa ndani.
4 Lakini ikiwa doa ni jeupe katika ngozi ya mwili wake nalo halionekani kuwa limepenya chini ya ngozi yake na nywele zake hazijageuka na kuwa nyeupe, basi kuhani atamtenga+ mwenye pigo hilo siku saba.
15 Kwa hiyo Miriamu akatengwa nje ya kambi siku saba,+ nao watu hawakuondoka mpaka Miriamu alipopokewa ndani.