22 “‘Nanyi mtazishika sheria+ zangu zote na maamuzi yangu yote ya hukumu+ na kuzifanya, ili nchi nitakayowaingiza mkae ndani yake isije ikawatapika ninyi.+
4“Na sasa, Ee Israeli, sikilizeni masharti na maamuzi ya hukumu ninayowafundisha ninyi kufanya, ili mpate kuishi+ na kwa kweli mpate kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wa mababu zenu anawapa ninyi.