Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 4:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Ndipo Yehova akamwambia: “Ni nani aliyekifanya kinywa kwa ajili ya mwanadamu au ni nani ambaye humfanya mtu kuwa bubu au kiziwi au mwenye kuona vizuri au kipofu? Je, si mimi, Yehova?+

  • Mambo ya Walawi 26:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 ndipo mimi nitawafanyia yanayofuata, na katika kutoa adhabu hakika nitaleta juu yenu usumbufu kwa kifua kikuu+ na homa kali, kufanya macho yafifie+ na kuifanya nafsi idhoofike.+ Nanyi mtapanda mbegu yenu bure, kwa maana adui zenu hakika wataila.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki