2 “Waamuru wana wa Israeli, nawe utawaambia, ‘Mnaingia katika nchi ya Kanaani.+ Hiyo ndiyo nchi itakayowaangukia kwa urithi,+ nchi ya Kanaani kulingana na mipaka yake.+
11 “Piteni katikati ya kambi na kuwaamuru watu, mkisema, ‘Jitayarishieni chakula, kwa kuwa siku tatu kutoka sasa mtavuka huu mto Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ninyi mpate kuimiliki.’”+