Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 4:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kisha ikawa kwamba makuhani waliolichukua sanduku+ la agano la Yehova walipopanda kutoka katikati ya Yordani nao makuhani wakainua miguu+ yao na kukanyaga kwenye nchi kavu, ndipo maji ya Yordani yakaanza kurudi mahali pake na kufanya kingo zake zote zifurike+ kama hapo mwanzoni.

  • 1 Mambo ya Nyakati 12:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Hao ndio waliovuka Yordani+ katika mwezi wa kwanza mto ulipokuwa umefurika kingo zake,+ kisha wakawafukuza wale wote wa nchi tambarare za chini, kuelekea upande wa mashariki na upande wa magharibi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki