21 Kisha mtazame, na hapo, binti za Shilo watakapotoka nje ili kucheza katika dansi+ za mzunguko, ninyi pia mtoke katika mashamba ya mizabibu, kisha mjichukulie kwa nguvu kila mmoja mke wake kutoka kwa binti za Shilo, nanyi mwende katika nchi ya Benyamini.