Waamuzi 17:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi Mika akamwambia: “Kaa pamoja na mimi, uwe kama baba+ na kuhani+ kwangu, nami nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka na mavazi ya kawaida na chakula chako.” Ndipo Mlawi huyo akaingia ndani.
10 Basi Mika akamwambia: “Kaa pamoja na mimi, uwe kama baba+ na kuhani+ kwangu, nami nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka na mavazi ya kawaida na chakula chako.” Ndipo Mlawi huyo akaingia ndani.