Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 27:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na kuhusu mwanamume na mwanamke, Daudi hakuhifadhi hai yeyote ili kuwaleta Gathi, akisema: “Wasije wakatusema kwa maneno haya, ‘Hivi ndivyo Daudi alivyofanya.’”+ (Na hii imekuwa kawaida yake siku zote ambazo aliishi katika nchi ya mashambani ya Wafilisti.)

  • 1 Samweli 27:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa hiyo Akishi akamwamini+ Daudi, akisema moyoni mwake: “Bila shaka amenuka katikati ya watu wake Israeli;+ naye atakuwa mtumishi wangu mpaka wakati usio na kipimo.”

  • 1 Samweli 29:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Nao wakuu wa Wafilisti wakaanza kusema: “Hawa Waebrania+ wanataka nini?” Naye Akishi akawaambia wakuu wa Wafilisti: “Je, huyu si Daudi mtumishi wa Sauli mfalme wa Israeli, aliyekuwa pamoja nami hapa mwaka mmoja au miwili,+ nami sijapata+ndani yake jambo hata moja tangu siku ile alipotoroka kuja kwangu mpaka leo hii?”

  • Mathayo 10:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Tazama! Mimi ninawatuma ninyi kama kondoo katikati ya mbwa-mwitu;+ kwa hiyo jionyesheni wenyewe kuwa wenye kujihadhari kama nyoka+ na hata hivyo wasio na hatia kama njiwa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki