Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 24:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Je, mfalme wa Israeli ametoka nje kumfuata nani? Unamfuatilia nani? Mbwa aliyekufa?+ Kiroboto mmoja?+

  • 2 Samweli 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ndipo Abneri akakasirika+ sana kwa sababu ya maneno ya Ish-boshethi, akasema: “Je, mimi ni kichwa cha mbwa+ wa Yuda? Leo ninaendelea kuonyesha fadhili zenye upendo kwa nyumba ya baba yako, kwa ndugu zake na rafiki zake wa kibinafsi, nami sikukuacha uanguke mkononi mwa Daudi; na bado leo unanitoza hesabu kwa sababu ya kosa linalohusu mwanamke.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki