Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 3:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Naye akatoka nje.+

      Na watumishi wa mfalme wakaja na kuanza kuangalia, na tazama, milango ya chumba cha dari ilikuwa imefungwa kwa ufunguo. Kwa hiyo wakasema: “Ameenda haja+ katika chumba chake cha ndani chenye baridi.”

  • 1 Samweli 24:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mwishowe akafika kwenye mazizi ya mawe ya kondoo kando ya barabara, mahali ambapo palikuwa na pango. Basi Sauli akaingia ndani kwenda haja,+ huku Daudi na watu wake wakiwa katika sehemu za nyuma kabisa za pango hilo,+ wakiwa wameketi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki