Isaya 22:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Nanyi kwa kweli mtazihesabu nyumba za Yerusalemu. Nanyi pia mtazibomoa nyumba ili kuufanya ukuta+ usiweze kufikiwa.
10 Nanyi kwa kweli mtazihesabu nyumba za Yerusalemu. Nanyi pia mtazibomoa nyumba ili kuufanya ukuta+ usiweze kufikiwa.