1 Wafalme 22:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Naye akamwambia Yehoshafati: “Je, utaenda pamoja nami kupigana kule Ramothi-gileadi?”+ Ndipo Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli: “Mimi ni sawa na wewe. Watu wangu ni sawa na watu wako.+ Farasi zangu ni sawa na farasi zako.”
4 Naye akamwambia Yehoshafati: “Je, utaenda pamoja nami kupigana kule Ramothi-gileadi?”+ Ndipo Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli: “Mimi ni sawa na wewe. Watu wangu ni sawa na watu wako.+ Farasi zangu ni sawa na farasi zako.”