2 “Sema na wana wa Israeli nawe uchukue kutoka kwao fimbo+ moja kwa ajili ya kila nyumba ya ukoo wa upande wa baba kutoka kwa wakuu+ wao wote, kulingana na nyumba ya baba yao, fimbo kumi na mbili. Utaandika jina la kila mmoja katika fimbo yake.
11 Naye Yahathi akawa kichwa, Ziza wa pili. Nao Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo wakawa nyumba moja ya ukoo wa upande wa baba+ kwa ajili ya tabaka moja rasmi.