Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 1:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Wake zenu, watoto wenu wadogo na mifugo yenu, watakaa katika nchi ambayo Musa amewapa ninyi ng’ambo hii ya Yordani;+ lakini ninyi wanaume mtavuka mkiwa mmejipanga kivita+ mbele ya ndugu zenu, wanaume wote ambao ni mashujaa wenye nguvu,+ nanyi mtawasaidia.

  • 1 Mambo ya Nyakati 5:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Na hawa ndio waliokuwa vichwa vya nyumba ya mababu zao: Eferi na Ishi na Elieli na Azrieli na Yeremia na Hodavia na Yahdieli, wanaume waliokuwa mashujaa, watu wenye nguvu, wanaume wenye sifa, vichwa vya nyumba ya mababu zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki