1 Wafalme 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Basi akaondoka hapo, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima+ na jozi kumi na mbili za wanyama mbele yake, naye akiwa na ile ya kumi na mbili. Basi Eliya akavuka mpaka pale alipokuwa, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.
19 Basi akaondoka hapo, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima+ na jozi kumi na mbili za wanyama mbele yake, naye akiwa na ile ya kumi na mbili. Basi Eliya akavuka mpaka pale alipokuwa, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.