-
Waamuzi 1:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Wakati Adoni-bezeki alipoanza kukimbia, wakamfuatilia na kumshika, wakamkata vidole gumba vya mikono yake na vidole vikubwa vya miguu yake.
-