-
Luka 15:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 “Au ni mwanamke gani mwenye sarafu kumi za drakma, akipoteza sarafu moja ya drakma, hawashi taa na kufagia nyumba yake na kutafuta kwa uangalifu mpaka aipate?
-