Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 48:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na kwa habari yake kutakuwako mchango mtakatifu kwa ajili ya makuhani,+ upande wa kaskazini mikono 25,000, na upande wa magharibi upana wa mikono 10,000, na upande wa mashariki upana wa mikono 10,000, na upande wa kusini urefu wa mikono 25,000. Na patakatifu pa Yehova patakuwa katikati yake.+

  • Ezekieli 48:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Na Walawi watakuwa na fungu,+ karibu kabisa na eneo la makuhani, lenye urefu wa mikono 25,000, na upana wa mikono 10,000; urefu wote ukiwa 25,000, na upana ukiwa 10,000.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki