Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 31:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Na bado kamba ya kupimia+ itaenda mbele moja kwa moja kwenye kilima cha Garebu, nayo hakika itazunguka mpaka Goa.

  • Ezekieli 40:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye akanileta huko, na, tazama! alikuwapo mtu fulani. Sura yake ilikuwa kama shaba,+ naye alikuwa na kamba ya kitani mkononi mwake, na utete wa kupimia,+ naye alikuwa amesimama langoni.

  • Zekaria 2:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Nami nikainua macho yangu nikaona; na tazama! kulikuwa na mtu, naye alikuwa na kamba ya kupimia+ mkononi mwake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki