Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zekaria 14:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Nanyi mtakimbilia bonde la milima yangu;+ kwa sababu bonde la milima hiyo litafika mpaka Aseli. Nanyi mtakimbia, kama vile mlivyokimbia kwa sababu ya lile tetemeko la nchi katika siku za Uzia mfalme wa Yuda.+ Na Yehova Mungu wangu atakuja,+ watakatifu wote wakiwa pamoja naye.+

  • Mathayo 13:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Mwana wa binadamu atatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake vitu vyote ambavyo husababisha kukwazika+ na watu wanaoasi sheria,

  • Mathayo 19:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Yesu akawaambia: “Kwa kweli ninawaambia ninyi, Katika uumbaji-mpya Mwana wa binadamu atakapoketi juu ya kiti chake cha ufalme chenye utukufu, ninyi ambao mmenifuata mtaketi pia juu ya viti vya ufalme kumi na viwili, mkiyahukumu yale makabila kumi na mawili ya Israeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki