23 Sasa wakati askari-jeshi walipokuwa wamemtundika Yesu mtini, wakachukua mavazi yake ya nje na kufanya sehemu nne, kwa kila askari-jeshi sehemu moja, na vazi la ndani. Lakini lile vazi la ndani lilikuwa halina mshono, likiwa limefumwa kutoka juu mpaka urefu wake wote.+