-
Matendo 5:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Pia, umati kutoka kwenye majiji yanayozunguka Yerusalemu ukazidi kuja pamoja, ukiwa umewabeba wagonjwa na wale wenye kutaabika wakiwa na roho wachafu, nao wote wakawa wakiponywa.
-