13 Mara mtakapoingia jijini, mtamkuta moja kwa moja kabla hajapanda kwenda mahali pa juu ili ale chakula; kwa kuwa watu hawawezi kula mpaka aje, kwa maana yeye ndiye anayeibariki dhabihu.+ Baadaye wale walioalikwa hula. Basi sasa pandeni—sasa hivi mtampata.”
19 Halafu akauamuru umati uketi kwenye majani naye akachukua ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akatoa baraka+ na, baada ya kuimega ile mikate, akawagawia wanafunzi, nao wanafunzi wakaugawia ule umati.+