Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 30:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Hiki ndicho watakachotoa wale wote wanaopita kwa wale waliohesabiwa: nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.+ Gera 20 zinatoshana na shekeli moja. Nusu shekeli ndio mchango kwa Yehova.+

  • Kutoka 38:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Ile nusu shekeli kwa ajili ya mtu mmoja ilikuwa nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, kwa kila mtu aliyekuwa akipita kuingia upande wa wale waliokuwa wameandikishwa kuanzia miaka 20 na zaidi,+ jumla ya watu 603,550.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki