Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 18:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Basi wakampeleka Yesu kutoka kwa Kayafa mpaka kwenye jumba la gavana.+ Sasa ilikuwa asubuhi. Lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya jumba la gavana, ili wasipate kutiwa unajisi+ bali wapate kula pasaka.

  • Matendo 10:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 naye akawaambia: “Ninyi mnajua jinsi ilivyo kinyume cha sheria kwa Myahudi kujiunga na mtu wa jamii nyingine au kumkaribia;+ na bado Mungu amenionyesha sipaswi kumwita mtu yeyote kuwa najisi au si safi.+

  • Matendo 11:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 wakisema aliingia ndani ya nyumba ya watu ambao hawakuwa wametahiriwa naye alikula pamoja nao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki