Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 6:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa hiyo hakuweza kufanya matendo yenye nguvu huko ila kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya.

  • Luka 4:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Lakini jua lilipokuwa likitua, wale wote waliokuwa na watu wanaougua magonjwa mbalimbali wakawaleta kwake. Akawa akiwaponya kwa kuweka mikono yake juu ya kila mmoja wao.+

  • Matendo 9:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kwa hiyo Anania akaenda zake na kuingia katika ile nyumba, naye akaweka mikono yake juu yake na kusema: “Sauli, ndugu, yule Bwana, yule Yesu aliyekutokea katika barabara uliyoijia, amenituma, ili upate kuona tena na kujazwa roho takatifu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki