-
Luka 16:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 naye alikuwa akitamani kujishibisha kwa vitu vilivyokuwa vikianguka kutoka kwenye meza ya yule tajiri. Ndiyo, pia, mbwa walikuwa wakija na kuviramba vidonda vyake.
-