55 Ndipo Yesu akauambia umati: “Je, mmetoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni kwenda juu ya mnyang’anyi ili kunikamata?+ Siku baada ya siku nilikuwa nikiketi katika hekalu+ nikifundisha, na bado hamkunikamata.
52 Ndipo Yesu akawaambia wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu na wanaume wazee waliokuwa wamekuja hapo kumchukua: “Je, mlitoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni juu ya mnyang’anyi?+