-
Luka 1:65Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
65 Na wale wote waliokuwa wakiishi katika ujirani wao wakaingiwa na woga; na katika nchi yote ya milima ya Yudea mambo yote hayo yakaanza kuzungumzwa pande zote,
-