Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 24:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa habari yao, wakawa katikati ya wale wanaoiasi nuru;+

      Hawakuzitambua njia zake,

      Wala hawakukaa katika barabara zake.

  • Isaya 5:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Ole wao wanaosema kwamba wema ni ubaya na ubaya ni wema,+ wale wanaoweka giza badala ya nuru na nuru badala ya giza, wale wanaoweka uchungu badala ya utamu na utamu badala ya uchungu!+

  • Yohana 12:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Yule ambaye hunipuuza wala hapokei maneno yangu ana wa kumhukumu. Neno+ ambalo nimesema ndilo litakalomhukumu katika siku ya mwisho;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki