Mathayo 10:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Katika jiji lolote lile au kijiji chochote kile mtakapoingia, tafuteni ni nani humo anayestahili, mkae humo mpaka mtakapoondoka.+ Matendo 10:48 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 48 Ndipo akawaamuru wabatizwe katika jina la Yesu Kristo.+ Kisha wakamwomba akae pamoja nao siku kadhaa.
11 “Katika jiji lolote lile au kijiji chochote kile mtakapoingia, tafuteni ni nani humo anayestahili, mkae humo mpaka mtakapoondoka.+
48 Ndipo akawaamuru wabatizwe katika jina la Yesu Kristo.+ Kisha wakamwomba akae pamoja nao siku kadhaa.