Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Sasa, tazama! msukosuko mkubwa ukatokea katika bahari, hivi kwamba mashua ilikuwa ikifunikwa na mawimbi; hata hivyo, yeye alikuwa amelala usingizi.+

  • Mathayo 14:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kufikia sasa mashua ilikuwa mamia mengi ya meta mbali na nchi kavu, ikitaabishwa sana na mawimbi,+ kwa sababu upepo ulikuwa ukivuma kinyume chao.

  • Marko 6:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Na alipowaona wakitaabika+ katika kuvuta kwao makasia, kwa maana upepo ulikuwa ukivuma kinyume chao, karibu kesha la nne la usiku akawaendea, akitembea juu ya bahari; lakini alitaka kuwapita.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki