Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Baada ya muda, binti ya Farao akaja kuoga katika Mto Nile, nao wanawake wa kumhudumia walikuwa wakitembea kando ya Mto Nile. Naye akaiona ile safina katikati ya matete. Mara moja akamtuma kijakazi wake aende akailete.+

  • Kutoka 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Naye mtoto akakua. Kisha akamleta kwa binti ya Farao, hivi kwamba akawa mwana kwake;+ naye akamwita jina lake Musa na kusema: “Ni kwa sababu nimemtoa majini.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki