-
Matendo 27:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Kwa hiyo, wakizikata nanga, wakaziacha zianguke ndani ya bahari, wakati huohuo wakifungua amari za makasia ya mtambo wa usukani na, baada ya kutweka tanga la mbele kwenye upepo, wakaenda pwani.
-