Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 11:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Kisha upepo kutoka kwa Yehova ukavuma ghafla na kuanza kuleta kware kutoka baharini na kuwaangusha kotekote kambini,+ kwenye eneo la umbali wa siku moja hivi kila upande kuzunguka kambi, wakafikia kimo cha mikono miwili* hivi kutoka ardhini.

  • Hesabu 11:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Kwa hiyo wakapaita mahali hapo Kibroth-hataava,*+ kwa sababu hapo ndipo walipowazika watu waliokuwa na tamaa na pupa.+

  • Zaburi 78:27-29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Naye akawanyeshea nyama kama mavumbi,

      Ndege kama mchanga kwenye ufuo wa bahari.

      28 Aliwaangusha katikati ya kambi yake,

      Pande zote kuzunguka mahema yake.

      29 Nao wakala na kujilazimisha kula zaidi;

      Aliwapa walichotamani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki