-
Kutoka 36:24-26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Kisha akatengeneza vikalio 40 vya fedha chini ya vile viunzi 20: vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja pamoja na ndimi zake mbili na vikalio vingine viwili chini ya kila kiunzi kilichofuata pamoja na ndimi zake mbili.+ 25 Akatengeneza viunzi 20 upande wa pili wa hema, upande wa kaskazini 26 pamoja na vikalio vyake 40 vya fedha, vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja na vikalio viwili chini ya kila kiunzi kilichofuata.
-