Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 21:33-35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Halafu wakageuka na kupanda kupitia njia ya Bashani. Ndipo Ogu+ mfalme wa Bashani akatoka pamoja na watu wake wote ili kupigana vita nao huko Edrei.+ 34 Yehova akamwambia Musa: “Usimwogope,+ kwa maana nitamtia mikononi mwako pamoja na watu wake wote na nchi yake,+ nawe utamtendea kama ulivyomtendea Sihoni mfalme wa Waamori, aliyeishi Heshboni.”+ 35 Basi wakaendelea kumshambulia pamoja na wanawe na watu wake wote hivi kwamba hakuna mtu yeyote kati ya watu wake aliyeokoka,+ nao wakaichukua nchi yake.+

  • Kumbukumbu la Torati 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Basi Yehova Mungu wetu akamtia pia mikononi mwetu Mfalme Ogu wa Bashani pamoja na watu wake wote, nasi tukaendelea kumshambulia hivi kwamba hakuna mtu yeyote kati ya watu wake aliyeokoka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki