Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 34:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Wape Waisraeli maagizo haya: ‘Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani,+ nchi mtakayoirithi, hii ndiyo itakayokuwa mipaka ya nchi hiyo ya Kanaani.+

  • Hesabu 34:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Mpaka huo utaanzia Shefamu hadi Ribla, upande wa mashariki wa Aini, nao utashuka na kuvuka mteremko wa mashariki wa Bahari ya Kinerethi.*+

  • Kumbukumbu la Torati 3:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na watu wa kabila la Rubeni na kabila la Gadi+ nimewapa kuanzia Gileadi mpaka kwenye Bonde* la Arnoni, katikati ya bonde ulikuwa ndio mpaka, hadi Bonde la Yaboki, ambalo ni mpaka wa Waamoni, 17 na Araba na Yordani na ule mpaka, kuanzia Kinerethi hadi Bahari ya Araba, Bahari ya Chumvi, chini ya mteremko wa Pisga kuelekea upande wa mashariki.+

  • Yohana 6:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Baada ya hapo Yesu akavuka Bahari ya Galilaya, au Tiberia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki